Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,795
- 48,057
.
Jamaa aliyegundua hizi bunduki za kuprint mwenyewe alishaweka kila kitu mtandaoni. Yaani sasa unaweza kununua tu hiyo 3D printer na vitu vinavyotakiwa halafu ukaprint pisto yako mwenyewe nyumbani. Serikali ya Marekani walikimbilia mahakamani na hizo blue prints ikabidi ziondolewe na nadhani kesi bado inaunguruma huko....Aisee, nitatafuta hizi habari nizisome vizuri kesho nikipata mda.
Not funny...at all [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Mobutu Sese Seko Kuku Ngbendu wa za Banga--meaning "the all-powerful warrior who because of his endurance and inflexible will to win will go from conquest to conquest leaving fire in his wake.
Lala salama broUsiku mwema wakuu.
Sana mkuuMobutu Sese Seko Kuku Ngbendu wa za Banga--meaning "the all-powerful warrior who because of his endurance and inflexible will to win will go from conquest to conquest leaving fire in his wake.
Afrika tumebarikiwa viongozi kwa kweli [emoji16][emoji16][emoji16]
Really ?Not funny...at all [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Ahsante, kesho mkuu.Lala salama bro
Na unayasema haya kwa majigambo na ufahari kabisa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Sana mkuu
Hapo alikuwa zake cap martin ufaransa.kwenye nyumba yake za zaidi ya $5 mill
Baada ya kutoka lausanne uswizi kwenye nyumba yake ya zaidi ya $6 mill