Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Adios....and always remember: A man who is hurt and in a survival mode is more dangerous. Please approach with caution [emoji16][emoji16][emoji16]


Huyo jamaa aliyerusha hilo konde alikuwa ameumizwa vibaya sana na hapo alikuwa anakimbia kimbia tu ulingoni. Huyu naye kuona kuwa keshamuumiza mwenzie basi tamaa ya kumtandika knockout ikamjaa akaenda kichwa kichwa bila defense. Jamaa naona alijikoki na kukusanya nguvu zote akavurumisha hilo konde la kushoto...

Boxing - mchezo safi sana wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]
 
😀😀😀😀😀 eti mpaka size ya nini hapo?Mbona kama watakiuka privacy za watu?

Sikua nimeisikia hii.
3D Printing sasa watu wanaweza kuprint pisto majumbani mwao na blue print tayari zimeshatolewa mtandaoni. Tatizo ni kwamba bunduki hizi ni plastiki na hazionekani kwenye mashine za kawaida. Ndo wamekuja na hizi mpya zinazoonyesha kila kitu.

Watetezi wa haki za binadamu na mambo ya privacy wamepiga makelele sana lakini zimefungwa kwenye maairport makubwa. Kwa sasa kuzitumia ni optonal ila wakikutilia shaka basi lazima upitemo au uahirishe safari. Mpaka zinaonyesha huko bustanini kuna hali gani kama kumepaliliwa ama la. Hata wanawake hawazipendi kwa sababu nao zinaonyesha kila kitu...
 
Aisee, nitatafuta hizi habari nizisome vizuri kesho nikipata mda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…