Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aisee, nitatafuta hizi habari nizisome vizuri kesho nikipata mda.
Jamaa aliyegundua hizi bunduki za kuprint mwenyewe alishaweka kila kitu mtandaoni. Yaani sasa unaweza kununua tu hiyo 3D printer na vitu vinavyotakiwa halafu ukaprint pisto yako mwenyewe nyumbani. Serikali ya Marekani walikimbilia mahakamani na hizo blue prints ikabidi ziondolewe na nadhani kesi bado inaunguruma huko....

Hizo mashine za airport zimelengwa hasa kukabiliana na threats mpya kutoka kwa magaidi kama matumizi ya silaha zisizoweza kuonekana kirahisi katika mashine za kawaida.
 
Sana mkuu
Hapo alikuwa zake cap martin ufaransa.kwenye nyumba yake za zaidi ya $5 mill
Baada ya kutoka lausanne uswizi kwenye nyumba yake ya zaidi ya $6 mill
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…