4. Licha ya kufurahia Kuua sana binadamu, adolf alipinga sana ukatili wa wanyama, na alikuwa hali nyama ya aina yeyote ile!
5.Hitler aliokolewa kufa maji na mfanyakazi wa kanisa alipokuwa na umri wa miaka minne (4). na kwa kipindi hicho, hitler ilipenda saana awe mfanyakazi wa kanisa akiwa mkubwa!
6. Mpenzi wa kwanza wa Hitler alikuwa myahudi na aliona aibu kumueleza hisia zake. baadae aligeuka na kuamua kuua kila myahudi aliyekuwepo ujerumani, kasoro daktari mmoja ambaye alisaidia bure familia ya hitler kuwatibu kutokana na ugumu wa maisha kipindi adolf akiwa mdogo!