Wengine maantisosho tu (a psychological condition) hakuna cha uintelligent wala nini [emoji16][emoji16][emoji16]
Kama nini vile?Eee sifia vyakula vyenye nguvu
kweli kabisa5.Doughnut.
Donati zinanukia vizuri na zinavutia kwa macho lakini ni chakula ambacho kitakuletea uzito mkubwa, kwa sababu kila unaposikia njaa zenyewe zipo tayari pamoja na soda . acha kutumia donat , tumia matunda kama apple, pears, parachichi unapokuwa una njaa.
Kama nini vile?
Nyanya.
Nyanya ni kiungo kizuri kwenye vyakula mbalimbali, lakini pia ni chakula kinachosaidia kupigana na saratani. tumia kama mboga zingine, hasa kachumbari ni nzuri iliyotengenezwa na nyanya. tumia kama diet.
Nyanya.
asante sana
Ubuyuuuu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]carbamazepine
@tzshaderoom: #roommetes breaking news msanii wa bongo flavaaa kadaka mimba ya mchaga cjui alitaka kumkomoaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aanze kula pesa zakeee mara paaap anapokea vipimo mbele ya mbea mda huuu yaani sasa hivi kuwa mimba anayo na ngwengwe pia ipo ccheki kuwa nafurahia nacheka jee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ataendelea na plan au atajimunalove [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngoja nikaoshe vyomboo mie [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125] nisije tumia mali za seeikali bureee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Beeeh! hujambo wewe mrembo?Bae wa uziiiii
Watakuwa wanahitaji Shrink si bure.Wengine maantisosho tu (a psychological condition) hakuna cha uintelligent wala nini [emoji16][emoji16][emoji16]
Hahaha, ugali ni chakula cha mifugo. Alafu vipo vyakula vingi tu vizuri kuliko huo...Ugali
ππππHahaha, ugali ni chakula cha mifugo. Alafu vipo vyakula vingi tu vizuri kuliko huo...
Sema wala ugali wanajiona wajanja kwasababu ndio chakula ambacho ni least affordable, so wabeba mizigo, wachanganya zege na wasioweza kupata chakula bora zaidi ndio kimbilio lao.. na hauna ladha nzuri kama vyakula vingine vingi
Sioni mantiki ya kuupa sifa ugali, japo na wenyewe ni chakula...ila still sio the best..