myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
ELIMU NZURI SANA HIIVISABABISHI VYA KUWA NA WEUSI KATIKA SEHEMU ZA MAPAJA ,KWAPA NA SEHEMU ZINGINE.
1. Msuguano kati ya sehemu mbili kwa muda mrefu.
Hii ni hali ambayo inawatokea sana watu ambao unakuta viungo vyao vimekaribiana sana hasa mapaja na husuguana na wengine hupelekea kupata maumivu makali sana na kuwapelekea kutumia nguo ndefu za ndani kupunguza msuguano huo
SAWASAWA2. Unene kupita kiasi
Pia hii ni hali ambayo huwatokea watu wa namna hii baadhi, kwa sababu ya uzito kuongezeka bila sababu na kupelekea sehemu hizo kuwa na msuguano mkali sana.
3. Matumizi mabaya ya deodorant spray
Watu wengi wanaotumia deodorant spray hasa zenye aluminium salt zinaziba vitundo vya ngozi na hatimaye ngozi yako kutopumua vizuri na hatimaye kuidhuru ngozi yako. Weusi wa namna hii unapatikana sana ktk kwapa.
KWELI4. Matumizi ya vipodozi vikali
Watu wamekuwa wakisumbuka kwa hali na mali kuondoa hio hali na wamekuwa wakijitahidi kwa namna yoyote kuondoa hio hali.
Lakini sasa matumizi ya vipodozi vikali vinaweza kuharibu sana na kuongeza tatizo kwa kuangamiza [melanocytes] ambazo ndizo seli zinazotengeneza melanin kiini kinachoipa ngozi rangi yake kiuhalisia
SAWASAWA5. Vichocheo kuvurugika
Watu wengi wenye vichocheo vilivyo vurugika unaweza ukamtambua kuwa ana hormone imbalance kwa dalili hii. Na wengi wapo katika kundi hili, unakuta ana ndevu,kwapa nyeusi na mapaja meusi na hadi kupelekea shingo nyeusi sana. Kumbuka homoni imbalance inatokea kwa wote mwanaume hata mwanamke.
Hivyo ukitaka kumsaidia tatizo hili ,hakikisha unarekebisha vichocheo vyake.
I got youIti is olo abauti atava
Dagaa wa Mwanza au wa Kigoma. Kuna tofauti kubwa. Asante kwa karibishoUmenikumbusha Leo nipike Dagaa....karibu!
Mambo ya kikatoliki haya ama?
- Anathema
a formal ecclesiastical curse accompanied by excommunication
E.g. Jiwe is apathetic [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
- apathetic
showing little or no emotion or animation
Walikuwa wakikaangwa mtu unasukumizia na ugali na gombole la maziwa hapo pembeni ukitoka hapo safii. Simple life indeed wallahi"embaasi"... Mateke yao muda wa kuyakamata yaliniumiza(miiba ya miguuni) sana. Maisha ya kuchunga ng'ombe yalikuwa na raha yake