Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nasikia kaendelea kutoa huduma kama ratiba yake ilivyokuwa inasema.

Mimi nilikuwa namuuliza numby kama kaona tetesi za kifo cha huyo kijana,yasemekana ni msongo wa mawazo.
Chanzo ni team ubuyu
 
Bro bana. Mtumishi hajaongea chochote kuelezea kwa undani ila kifo cha mwanae ni ubuyu mkubwa.

Daaah jamani eee anzen kujifunza kunywa uji mapema,ukubwan shida tupu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hilo nalo neno,waanze kuzoea mbunye mapema
 
Nasikia kaendelea kutoa huduma kama ratiba yake ilivyokuwa inasema.

Mimi nilikuwa namuuliza numby kama kaona tetesi za kifo cha huyo kijana,yasemekana ni msongo wa mawazo.
Chanzo ni team ubuyu
Nipo kwenye group la Whatsapp la mtumishi. Aliongea kidogo kwenye semina wameweka na video huko na audio. Huzuni sana [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Ingekuwa ametajwa iwe bojo nisingehangaika maana tetesi zinasema anao tena yeye na bebi mama wake.

Nimeona kila mtu anamsema lily kuwa ndo chanzo,sijui mwenyewe yuko katika hali gani huko aliko,sad
Ndo maana bebi mama hanyonyeshi kulinda watoto.

Lily alivishwa pete kwa mbwembwe akiwa na mimba.kumbe bana bidada alikua anawaza maisha kama ya mama machache,jamaa mwenye mimba pesa ikakata,uchumba ukafa,baada ya kujifungua kijana akabeba mzigo na kulea mtoto ila sasa bidada mashart ya kuishi kwa style ya malez ya kijana akashindwa,akadaka njemba nyingine,wacha ampe stress kijana wa watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…