Hekima ni nini?
Inawezekana kuwa na hekima wakati wote?
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] unanikumbusha mbali weyeHahahahaha!!
Unastaajabu na hilo! Watu tunalala chini hadi leo.. Nisaidie kigodoro hata cha ft 2 unusu angalau nami nilaze mbavu zangu aisee!
Acha weeee, mwendo wa mistari tuNJONI KWANGU, ninyi nyote mliochoka na maisha na kulemewa na mizigo, NITAWAPUMZISHA… MJIFUNZE KWANGU, kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo, nanyi mtapata RAHA NAFSINI MWENU." Mathayo 11:28, 29.
View attachment 905184
Hahahahaha!! Shule?[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] unanikumbuaha mbali weye
Mtaa gani huo nije nionje magumu ya huko?
Sawa sawa"KAENI NDANI YANGU, nami ndani yenu…. PASIPO MIMI HAMWEZI KUFANYA NENO LOLOTE" -(Yohana 15:4,5).
View attachment 905191
Ebwana weee, kumbe naye huchoka eeeh!!!!?Mungu akaona kila kitu alichofanya kuwa ni chema kabisa. Ikawa jioni ikawa asubuhi; siku ya sita. Hivyo ndivyo mbingu na dunia zilivyokamilika pamoja na vitu vyote vilivyomo. Siku ya saba Mungu akawa amemaliza kazi yake yote aliyofanya; siku hiyo ya saba Mungu akapumzika baada ya kazi yake yote aliyofanya. Mungu akaibariki siku ya saba na kuitakasa, kwa kuwa siku hiyo Mungu alipumzika baada ya kazi yake yote ya kuumba" - (Mwanzo 1:31-2:3)
View attachment 905192
Nitakuja kuyaonja machungu ya huko, ila usisahau MONDI anamwaga mazaga zaga kibao mitaa hiyo machungu gani tena yaliyopo Tandale tuongee na mondi arekebisheTandale kwa bi nyau
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] BUKU?Sio kweli mbona maisha rahisi sana huku Tandale una survive ata kwa Buku
[emoji16] [emoji16] [emoji16] wakijibu tuelezane[emoji16] [emoji16]Watekaji kuacha na silaha kwenye gari maana yake na kazi wamestaafu ama.?