Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kidogo kidogo tu hisia zinazidi unajikuta unafanya mambo ya kijinga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mara paap akili imerudi unataka rekebisha mambo unajikuta umechelewa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweeelii


Hasa kipindi cha genye acha tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Kidogo kidogo tu hisia zinazidi unajikuta unafanya mambo ya kijinga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mara paap akili imerudi unataka rekebisha mambo unajikuta umechelewa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo ni sehemu ya maisha. Ni mafunzo ambayo ni lazima upitie kama unakua hasa kisaikolojia. Utajifunza na safari nyingine hutarudia tena !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…