Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna uchaguzi mwezi huu. Mambo ni fayaaa vibaya sana !!!
 
Ukipenda sana pesa ni rahisi kuuza utu wako,
 
Ukipenda sana pesa ni rahisi kuuza utu wako,
Na hizo dola 50K si pesa kivile kama anaishi huko nchi za wenzetu. Hapo zote zinaishia katika bills tu hakuna cho chote. Isitoshe porn ni gemu la hatari sana na wastani wa wacheza hizi filamu katika gemu haizidi miaka miwili. Baada ya hapo huwa wamechujuka na kutupwa huko. Kutokana na kazi yenyewe wakishatoka kwenye porn wengi wao huwa wanapata shida kuwa na mahusiano ya kawaida na hivyo kuishia kuangukia katika ukahaba, matumizi ya unga na hufa vifo vya ajabu ajabu ikiwemo kujiua na drug overdose. Ni kazi ya laana!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…