Uchafu + ujinga na ulimbukeni ndio unaowaponza, kwani yeye ndiye super star pekee Bongo?? Wangapi ma super star lakini wanaishi maisha yenye AMANI tele?Akikua ataacha...
Ila kuwa "staa" inabidi uwe mvumilivu. Mdada huyu anatukanwa mtandaoni duh! Halafu sijui ana bifu gani na dada wa taifa....
Hawataki LAST-SEEN zao kuonekana kwa wapenzi wao[emoji16][emoji16]Kwani hii whatsapp ya kawaida ina tatizo gani kamanda mpaka kuhangaika kote huku?
[emoji23]Fyekero = ID mpya hapa JF (mara nyingi ni kwa ajili ya kufanyia mambo ambayo huwezi kuyafanya kwa kutumia ID yako ya kawaida mf. Kukiri kuwa we ni memba wa CHAWAMITA, CHAPUTA; kutongoza binti ambaye alishakukataa huko nyuma, kuporomosha povu n.k)
Naamini wengine ni wagonjwa wa akili jamani muwahurumiege...Hapo umemsahau amber ruty yeye kaachia video kabisa kijamaa kinafukua vya haramu.
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]. Prof dah [emoji16][emoji16][emoji16]Siwezi kupiga stori na fyekero mie...[emoji23] Nayaambia mimi ni dume sihitaji kubaniwa pua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nadhani hou msitari wa mwisho kwenye maandishi yako ndio unamhukumu..JOHN CENA AFUNGUKA KUWA ANAHITAJI MTOTO, KWANI ANAPATA FEDHEHA | Licha ya kupitia kwenye mahusiano na wanawake lukuki, Mwanamieleka maarufu duniani, John Cena ameonekana nafsi yake kufedheheka kwa kukosa mtoto. John Cena (41) ambaye ameshapitia kwenye maisha ya ndoa kwa miaka minne na aliyekuwa mke wake wa ndoa Elizabeth Huberdeau, hajabahatika kupata mtoto jambo ambalo amekiri linamnyima raha. “nimepitia kwenye mahusiano tofauti tofauti, lakini sijabahatika kupata mtoto. mwanzoni nilikuwa naangalia mwanamke nitakaye jenga naye familia lakini kwa sasa natamani zaidi kupata mtoto hata kwa njia ya upasuaji ikiwezekana,“ameeleza John Cena kwenye mahojiano yake na kipindi cha Today cha NBC. Mwanzoni mwa mwaka huu John Cena alimvisha pete ya uchumba mcheza mieleka mwenzie Nikki Bella lakini miezi miwili baadae wakamwagana. Katika maisha yake yote, John Cena hajawahi kupata mtoto na alishawahi kutamka wazi miaka ya nyuma kwamba hapendi watoto.