Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wala mie shemegi yenu Alhamdulilah ananisaidia sana Na wala hajali wengine wanaonaje tena hujiproud asa.
Hakuna kitu kinacholeta furaha kama nyote mnapika pamoja mnacheka na kufurahi. Au yeye kachelewa kurudi kazini mi nimewahi anafika anakuta nimeshapika na kuandaa meza tayari. Kawaida kabisa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…