Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aisee,,,nmepata shule nzur sana leo,,uzi huu uwe na maisha marefu,kupitia hapa tunapata darasa km hl,tunafurahi pamoja

Shukran bro.
 

Dada Nakubaliana nawe bila kuacha chembe ya shaka, ila sisi wafrika tunapenda sana kutishana. Pumbavu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kuna Sangoma mmoja aliwahi sema kwamba pale chooni hupelekwa kiumbe cha kutisha, mwili wa binadamu miguu mnyama, macho na mdomo kama wa tai.
aliyelengwa akiona tu anashtuka na kuanguka, akadai anguko lake linaenda sambamba na kupasuka mishipa ya damu kichwani kwakuwa tu mshtuko ni mkubwa. Akasema mgonjwa wa aina hiyo anaweza kutibika hospitali au kwa sangoma kama yeye.
Kwahiyo endeleeni kumwaga maaujuzi ili tujifunze
 
Tunajitolea kupima kwa hiari, mnaanza kutupa ushauri wa kusitisha...
1.nisinywe pombe (sijui wana/mna maanisha nini!)
2.nisile nyama... Kyusa mimi nisile nyama!! Kweli?

Acha nisiendelee....
 
Bro huyu mdogo wako,,sema vitu vingine anagoogle tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…