carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]asante googleKweli kabsa,,,SYB kaongea point sana,,carba nae kamaliza kila kitu kachanganya na vtu vyake vya kitabibu,,,nmepata shule ya kutosha leo,
Hili jambo huwa lnantatza sana na huku uswahl kuna vtu vng vya ajabu ajabu vinakuwa vinazungumzwa juu ya hili suala
Shukran kwa darasa hili.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Muone, unapenda ukubwa
Hapana. Sijabadili avatar. Ndiyo maana nikasema pengine ni TECNO yangu imechoka. Kuna wakati avatar zinastick na kuparaganyika. Ikitokea tena nitaleta ushahidi.Naona uliamua kubadili avatar[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]khaaa!!Wiki chache zilizopita kuna rafiki mmoja alisema kitu kilichonishtua sana. Alidai ameanguka chooni mara mbili siku tofauti, lakini kwakuwa amepewa aangalizo na mganga wake akajiponya mwenyewe hukohuko chooni[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] nilicheka kidogo ingaawa nilitamani nicheke sana ila angeona namdharau[emoji3] alisema ati sangoma alimwambia kuwa akianguka chooni haraka haraka akusanye uchafu ulipo chooni ajipake[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] wafrika tuna safari ndefu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wewe mbona umeshindwa ku google??
Kuna mwalimu wangu mmoja alikuwa anasema google ni mwalimu mzuri,akisema hivyo hiyo siku anafundisha juu juu tu
Najua,nilikuwa nataniaHapana. Sijabadili avatar. Ndiyo maana nikasema pengine ni TECNO yangu imechoka. Kuna wakati avatar zinastick na kuparaganyika. Ikitokea tena nitaleta ushahidi.
Mara nyingine utaambiwa ukipita bahirini baadhi ya maeneo usipite kuna chunusi, kibwengo nk ili utishike tu, lakini wenzetu wanapofanya tafiti zao hakuna jiwe linaacha kugeuzwa.Kaka wee acha tu sisi waafrika tuna mambo Mazuri Na vipaji vingi ila mambo tuliokua hatuna taaluma nayo tunapenda kutungia uzushi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nilikwa kwenye uwanja wa k vant sitaki simu naweza andika mambo ya ajabu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aiseee,,,leo umeniamulia,,ingekuwa ni weekend ningesema haupo peke yako hapo utakuwa umemix K ndogo
Bt huyo mwalimu alikuwa yupo sawa tu,,ni uvivu tu wa kutafuta mambo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli kakosekana ester tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kakake umenikumbusha kitu.Mara nyingine utaambiwa ukipita bahirini baadhi ya maeneo usipite kuna chunusi, kibwengo nk ili utishike tu, lakini wenzetu wanapofanya tafiti zao hakuna jiwe linaacha kugeuzwa.
Sisi wafrika ni shida sana[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Heh,,,aiseee,,unaweza sema ni stor lkn hii ni kweli kabsa,,,iman hz zpo nyingi sana na watu wanaziamn na kuzfata kabsaWiki chache zilizopita kuna rafiki mmoja alisema kitu kilichonishtua sana. Alidai ameanguka chooni mara mbili siku tofauti, lakini kwakuwa amepewa aangalizo na mganga wake akajiponya mwenyewe hukohuko chooni[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] nilicheka kidogo ingaawa nilitamani nicheke sana ila angeona namdharau[emoji3] alisema ati sangoma alimwambia kuwa akianguka chooni haraka haraka akusanye uchafu ulipo chooni ajipake[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] wafrika tuna safari ndefu.
Atakuja tu baadae baadaeSijui nani kamficha leo
Kuna usemi wanasema imani huponyaHeh,,,aiseee,,unaweza sema ni stor lkn hii ni kweli kabsa,,,iman hz zpo nyingi sana na watu wanaziamn na kuzfata kabsa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kakake umenikumbusha kitu.
Kuna mtu niliwahi msikia anasema kibwengo akikukimbiza kata kona maana yeye hawezi kata kona
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kakake umenikumbusha kitu.
Kuna mtu niliwahi msikia anasema kibwengo akikukimbiza kata kona maana yeye hawezi kata kona
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] hahahahaha, huyo kibwengo sijawahi kumuona zaidi kumsikia vijiweni[emoji3] [emoji3] [emoji3] wafrika ni shida, ukimwambia ampige picha aleta ushuhuda atakuletea sound za kila aina[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kakake umenikumbusha kitu.
Kuna mtu niliwahi msikia anasema kibwengo akikukimbiza kata kona maana yeye hawezi kata kona