Tafuta kuwa na uelewa, sema YANGA mechi ya kumi wamecheza Dar na sio kusema nyumbani, always, ukitaka kuwa bora dont generalize mambo, mechi dhidi ya Simba, Yanga kinadharia ilikuwa ugenini, ndio maana mapato yote yalichukuliwa na Simba, hivyo hivyo dhidi ya KMC, uwanja wa Taifa sio wa Yanga, hutumiwa na timu kadhaa Simba ikiwemo. Tafuta uelewa uongez maarifa/hekima na busara. Sahihi ni kusema kwamba YANGA mpaka sasa imecheza michezo Tisa (09) ikiwa Dar es Salaam. Kitakwimu ni mechi 09, sio 10.Acha tu kama Yanga tokea ligi ianze mechi ya 10 sijui hii anacheza nyumbani tu kila siku hajawahi kwenda kucheza Away [emoji16][emoji16] inafurahisha sana
Tafuta kuwa na uelewa, sema YANGA mechi ya kumi wamecheza Dar na sio kusema nyumbani, always, ukitaka kuwa bora dont generalize mambo, mechi dhidi ya Simba, Yanga kinadharia ilikuwa ugenini, ndio maana mapato yote yalichukuliwa na Simba, hivyo hivyo dhidi ya KMC, uwanja wa Taifa sio wa Yanga, hutumiwa na timu kadhaa Simba ikiwemo. Tafuta uelewa uongez maarifa/hekima na busara. Sahihi ni kusema kwamba YANGA mpaka sasa imecheza michezo Tisa (09) ikiwa Dar es Salaam. Kitakwimu ni mechi 09, sio 10.
Umewezaje kuwa na majibu ya kitu/jambo lisiloeleweka! Nimekufahamisha kwamba, mechi dhidi ya Simba, Yanga ilikuwa ugenini, Simba ilikuwa uwanja wa nyumbani, hivyo hivyo pia dhidi ya KMC, jumla ya mechi ambazo Yanga imekwishacheza ni 09 na sio 10, sasa nini hakijaeleweka hapo! Unataka ninene kwa Kinyakyusa! Ndagha fijo.Umejaribu kukosoa ila hujaeleweka,timu zinatakiwa kusafiri mikoani kucheza mechi sio kila mechi dar tu eti kisa uwanja mbovu mara wanaogopa uchovu wa safari utawaharibia matokeo. Ndo maana kimataifa hawawiki. Unazi pembeni,kakosea takwimu ila kaongea point
salama... wewe jeGood morning family!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mwisho wataomba hizo mechi zichezwe Dar [emoji3] [emoji3] vituko havitaishaNa hapo wakiambiwa waende ugenini wanagoma,visingizio kibao mara uwanja mbovu mara hiki na kile na viongozi wanakubaliana nao
😀😀😀😀😀[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mwisho wataomba hizo mechi zichezwe Dar [emoji3] [emoji3] vituko havitaisha
Sasa mzee check game Tisa zate home hakuna away ata moja na utakuta ya 10 pia watapiga home....Jana Yanga kacheza game ya 9,,Simba ndio ana game 10
Tiefuefu ya vilabu vitatu tuNa hapo wakiambiwa waende ugenini wanagoma,visingizio kibao mara uwanja mbovu mara hiki na kile na viongozi wanakubaliana nao
Gazeti refu maelezo ni yale yale tu nilioyasema, kwani yanga wanatumia uwanja gani kama uwanja wao wa nyumbani? Na mechi dhidi ya Simba na KMC walicheza uwanja gani?Tafuta kuwa na uelewa, sema YANGA mechi ya kumi wamecheza Dar na sio kusema nyumbani, always, ukitaka kuwa bora dont generalize mambo, mechi dhidi ya Simba, Yanga kinadharia ilikuwa ugenini, ndio maana mapato yote yalichukuliwa na Simba, hivyo hivyo dhidi ya KMC, uwanja wa Taifa sio wa Yanga, hutumiwa na timu kadhaa Simba ikiwemo. Tafuta uelewa uongez maarifa/hekima na busara. Sahihi ni kusema kwamba YANGA mpaka sasa imecheza michezo Tisa (09) ikiwa Dar es Salaam. Kitakwimu ni mechi 09, sio 10.
Asante.Gazeti refu maelezo ni yale yale tu nilioyasema, kwani yanga wanatumia uwanja gani kama uwanja wao wa nyumbani?
Ulihitaji maneno machache tu kunifafanulia hili jambo ila najua kwanini umekua mwandishi wa makala....
Pia shukrani kwa ufafanuzi wako
Salama pia tunashukuru MUNGUsalama... wewe je