Watu wanajiuliza tunakwama wapi kwenye soka la kimataifa, lakini tuna sababu nyingi mno ambazo zinafumbiwa macho. Timu zinazotegemewa kuwakilisha nchi zina utoto mwingi usiokubalika. Ndiyo maana wanapokosa mtu wa kuwadekeza kwenye anga la kimataifa wanaishia kutandikwa wanarudi na kuanza kulia lia.Na wakienda mikoani ubishi mtupu wakifungwa wanakimbilia kutaka point za mezani
Muundo au wanaanza kufirisika? Wafanyakazi 500 ni parefu sanaShirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) litapunguza wafanyakazi 555 kutoka 1,500 waliopo ili kubaki na 945 kwa lengo la kuboresha muundo mpya wa shirika hilo.
View attachment 916758
Muundo au wanaanza kufirisika? Wafanyakazi 500 ni parefu sana
Wana nini TTCL.? Watu wananua Line wapate cheap bundle hakuna zaidi.
Utendaji, utoaji huduma ni ZERO.
Its obvious wanafirisika!
Shida tupu ndugu yangu,,,bingwa anaandaliwa hiv hvSasa mzee check game Tisa zate home hakuna away ata moja na utakuta ya 10 pia watapiga home....
Huku salama kaka,,tunamshukuru MunguSafi bro, habari za huko
Pamoja broSalama mkuu..... Shukrani sana