Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilikuwa nawasifia Wasuku,kuwa ni wakalimu sana,na wako na moyo safi,,sema hayo mengine mzaramo akaja kujazia

Hope uko poa kabsa,na unapambana na majukum ya kila siku,karbun sana bro
Usimruke Mzaramo wako. Mlikuwa wote sambamba kabisa mnatukandia yaani. Nimecheka sana bro ila kwa ubro wetu nilitegemea ungetutetea angalau.
 
KENYA : MBARONI KWA KUMUUA MWANAYE - Mercy Chepngeno(22) anashikiliwa kwa kumuua mwanaye wa kiume wa mwaka 1 na kuutupa mwili wake kwenye jalala eneo la Kuresoi, Kaunti ya Nakuru - Akisubiri kwenda Mahakamani, amekiri kitendo hicho kwa Polisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…