carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Huna uthubutu[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]Mi ntaivurumisha kweli ohoooo !!![emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeona video mahali jamaa anaapa kuwa alishamtafuna Konkii Master. Na kama konkii akibisha basi huyo jamaa apelekwe jela maisha. Mambo haya ni magumu na papara hizi za Makonda hazitasaidia lolote
Weka dau...Huna uthubutu[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kungekuwa hakuna ban ningerusha picha moja hapa nilikokuwa laivu kabisa bila chenga. Dunia hii wacha tu...
Hivi Hizi Tuhuma Kwa Dudu Baya Ni Za Kweli Au...? - JamiiForumsnani wa kusimama na kusema konki master ni shoga?
Wanasema jamaa ni baunsa na walisha mung'unyuana kweli, walisha gombana ila jamaa kaamua kujilinda kabla Mamba hajamtaja kwenye orodha iliyo kuwa inafuataNimeona video mahali jamaa anaapa kuwa alishamtafuna Konkii Master. Na kama konkii akibisha basi huyo jamaa apelekwe jela maisha. Mambo haya ni magumu na papara hizi za Makonda hazitasaidia lolote
Amina....Vijana wetu wako makini sana hawa. Kesho na kesho kutwa tutakuja kupata raisi humu au angalau waziri. Tuombe tu wakifika huko wasije wakakana kuwa hawakuwahi kujiunga JF au kuwa katika uzi huu. Tuendelee kuwaombea [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Nimeona bro...
Ha hahOh Jizazi [emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]View attachment 921565
chukua StarTimes
Mtoto wa Vingunguti huyo, atakuwa amelala si unajua kuna machinjio kule [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kesho asubuhi anawahi kusaka vichwa vya supu... Mdogo wangu ni faita oooh...Cole Williams sikuoni
Are u oky????
Usha nichanganya sasa...
Nilitaka niongeze kamoja ka kunichemsha damu, yaani kawe kaguruguru zaidi ya dada Mange Kimambi ....
Mweeeee....