Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nimeona video mahali jamaa anaapa kuwa alishamtafuna Konkii Master. Na kama konkii akibisha basi huyo jamaa apelekwe jela maisha. Mambo haya ni magumu na papara hizi za Makonda hazitasaidia lolote
Wanasema jamaa ni baunsa na walisha mung'unyuana kweli, walisha gombana ila jamaa kaamua kujilinda kabla Mamba hajamtaja kwenye orodha iliyo kuwa inafuata
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] acheni picha liendelee
 
Kazi sana yaani...

Halafu wapenda huu mchezo ndo huwa wako kimbele mbele sana kupinga hadharani na hata kujivika uanaharakati kabisa. Sitashangaa huko mbele ikija kugundulika kuwa hata huyu mkurupukaji wetu naye anapelekewa moto. Hovyo kabisa !!!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mkurupukaji naye anatajwa tajwa, acha tusubiri tuone mwisho wa picha[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…