Kundi la wastaarabu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]😀😀😀😀😀
Wewe hata sijui nikuweke kundi gani siku hizi.
Mimi ni mzima pia.
Mie mzima,sijui weweKuna watu mkikutanaga hapa mnanifurahisha sana.Halafu kuna wapoleeee ....
Natumai ni wazima wote.
@ningendako
[emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23]atakuwa Mo asiyejulikana.
Mbona ulinikimbia sasa jana?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]si kweli carba,,