Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Facebook imezifungia akaunti 30 kwenye mtandao wake na kuzifungia akaunti 85 ktk mtandao wa Instagram baada ya akaunti hizo kuhusishwa kutaka kuingilia uchaguzi wa Marekani wa katikati ya muhula kwa kusambaza taarifa za uwongo.
 
Rihanna nae ajitokeza kumchimba biti rais wa Marekani Donald Trump kuacha mara moja kupiga nyimbo zake kwenye mikutano yake ya hadhara na kisiasa ambapo "Don't Stop The Music". Ulikuwa ukipigwa . Ukiacha Rihanna, mastaa wengine wakubwa waliomchana live na kutishia kumburuza Trump mahakamani Kwa kupiga nyimbo zao bila ruhusa au makubaliano yoyote ya kisheria ni pamoja na Pharell Williams, Adele, Elton John etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…