Daah hakuna kitu nachukia kama uchaguzi daahLeo ni uchaguzi. Matumbo moto. Siasa za majitaka balaa mpaka unashangaa kama kweli hawa ndiyo wanaovamia nchi mpaka kuua ikibidi ili kueneza demokrasia...
Tumepoa tunakula tu ubuyu hapawasafiri wote poleni sana
Hatari sanahehe..
Hujambo ProHahahahaha!View attachment 923590
Yapkila mtu ni muhimu sana
Ha hahKakiwa uchi wala hakavutii yaani flat skrini kabisa zero mzuka walahi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
InstaAisee, kazi kweli kweli.Umeitoa wapi hii?
Uko sahihi kabisa !!!Ni kweli bro,
Ila kwa mtazamo wangu hapa bongo ni tofauti kidogo.Mabadiliko makubwa ya kiuchumi/kisera bila ya chama kubadilika sio kawaida.Marekani na kwingine mabadiliko ya namna hii yanaonekana pale vyama vyenye mirengo tofauti vinavyochukua nchi mf: mrengo wa kushoto na wa kulia ambao hata sera zao zinakinzana kwenye mambo mengi sana.
Safi mkuiMambo ni Safi sana ndugu, vipi huko?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kabisaaaahahahahahah,
halafu ukaniambia ile bani ilisababishwa na emoj πππππππππ
Ni kukandia majimama bro. Sasa wote wakiwa vimbaumbau wengine tutaishije? Do they know that?πππππ ni kwa sababu ya kusababisha conversion into slims?
Sijambo za masiku?IG kumenoga naona unakula ubuyu
Hujambo lakini
Phabian yuko sahihi kabisa [emoji16][emoji16][emoji16]Hahahahaha!View attachment 923590
Dah,,,adui muombee njaa
Nazisevu hizi picha. Naamini mmojawapo hapa lazima tu awe ndiwe !!!
Trump kachochea watu mpaka imefikia mahali vurugu za ndani kwa ndani zinawezekana sasa...hasa ukizingatia kuwa bunduki nje nje. Hovyo kabisa !!!Daah hakuna kitu nachukia kama uchaguzi daah