[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unakakandia? Kakija utakoga mfyuuu za kutosha na matarumbeta juu akina Mwajuma wakisasambua. Itabidi uhame mtaa [emoji16][emoji16][emoji16]
Mchumba huko kamtoe wapi kale? Kanaweza kulima? Kupika tu ugali wa kula wanaume wawili wakashiba hakawezi sembuse kushinda kwenye majaruba ya mpunga? Maneno mengi tu hakuna kitu pale [emoji23][emoji23][emoji23]
Lips?Ha hah
She got Lips and boobies
Best kisser ever!
UnaasemaJamaa wanasema ni mchaga daah
Tupo pamoja mkuuSafi mkui
Unaipata hii@ningendako
Haya ndo mambo sasa[emoji16][emoji16]
Naona vitisho vya jana Konki Master kasarenda [emoji16][emoji16][emoji16]Insta
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona ulinikimbia sasa jana?[emoji23][emoji23]
Kila siku unaniponza[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Waaaah!!!yaani ninge mimi sifai?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naandamana akiii tena
Nzuri Numbisa naona man u mmeamkaSijambo za masiku?
Kameshakuja...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]