Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

AC Milan wana mpango wa kumuendea mlinzi wa Manchester United raia wa Ivory Coast Eric Bailly, 24, huku mchezaji huko akikasirishwa na ukosefu wa fursa chini ya umeneja wake Jose Mourinho huko Old Trafford. (ESPN)
 
Mshambuliaji wa DC United Wayne Rooney, 33, atachagua jesi namba 10 ya mshambuliaji wa Manchester City Raheem Starling wakati England watakutana na Marekani kwenye mechi ya kirafiki mwezi huu. (Mail)
 



Nitaanza kuwaiginoa kuanzia leo usiku. Hata waposti nini. Ulihusika kuvunja ile ndoa ya kenyewe na bro 100%. May be kako frasterededi. Unastahili lawama pia [emoji16][emoji16][emoji16] [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…