Kampungapunga
JF-Expert Member
- Sep 27, 2018
- 313
- 1,100
Kazi tunayo kweli , mzungu siyo kiumbe mzuri
[emoji16][emoji16] ni lazima iwe hivi
Mashoga hawastahili kulindwa usalama wao? Sheria zetu zinasemaje kwani kuhusu usalama wa raia wakiwemo wahalifu?[emoji16][emoji16] ni lazima iwe hivi
Watalii wakiacha kuja uchumi utadorora mkuu. Ni lazima kuwahakikishia kuwa wako salama...$$$$ is powerful !!!Kazi tunayo kweli , mzungu siyo kiumbe mzuri
Dah nadhani mashoga wanashangilia mana naona wanapiganiwa sana kuliko hata wanao uwawa na kutekwaWatalii wakiacha kuja uchumi utadorora mkuu. Ni lazima kuwahakikishia kuwa wako salama...$$$$ is powerful !!!
$$$$$$$$$Dah nadhani mashoga wanashangilia mana naona wanapiganiwa sana kuliko hata wanao uwawa na kutekwa
[emoji16][emoji16][emoji16] broBro Davet. Imajini siku moja isiyo na jina Riri ndo kaingia kwenye anga zako si utaua bro? Itabidi tu naye aje akuzindue au akutungie kawimbo aisee. Nyie maandaeitini nyie mna vituko sana walahi [emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 925080
#Fantasy#[emoji16][emoji16][emoji16] bro
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji15] View attachment 924956
Safi sana walahi
Dah Wafrica Mungu atusaidie tu cheki huyo mtoto mwenye nguo nyekundu tumbo lilivo vimba kisa viaz na maharage