Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sidhani. Hapa JF kila mtu ana maisha mazuri - gari, majumba, kazi safi ...
Mambo ya kujishusha ni kwa Mwenyezi Mungu tu.
Nakumbuka kipindi nipo shule, nikiwa na rafiki yangu ambaye kimaisha tulikuwa tunaelekeana, kazi yetu ilikuwa ni kumvizia mhasibu akibandika karatasi yenye majina ya walio tumiwa TMO nasi tunayaongeza ya kwetu ili tuonekane tunatumiwa hela na wazazi wetu.
Ila kila jambo na ukomo wake, tulikuja kamatwa, tulitwangwa fimbo za kutosha na adhabu ya kuchunga ng'ombe kwa wiki mbili.

Maisha ya kuigiza ni mazuri,ikiwa tu yataigizwa moja kwa moja.
 
Indeed bro.
 
TMO ndio nn mzee??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…