Trump hahahahView attachment 952166
Guess who’s not getting invited to the funeral? [emoji1][emoji1]
SureHa ha hah
Exactly bro & lets wait and see.
May His Soul Rest In Peace.George H W Bush alikuwa mtu wa aina gani?
Kuapishwa kwa George H W Bush kuwa Rais wa Marekani mnamo Januari 1989 kilikuwa kilele cha ufanisi wake katika siasa. Alikuwa ameandiliwa kwa muda mrefu kupitia mafunzo ya kiwango cha juu, na kupandishwa madaraka mara kwa mara kabla ya kuishia Ikulu ya White House.
Rais huyu wa 41 wa Marekani alifanya kazi kama makamu wa Rais wa Ronald Reagan kwa miaka minane.