Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Naye kiungo Willian amekuwa mchezaji wa kwanza wa Chelsea kufunga mabao mengi kwa mipira ya adhabu ya moja kwa moja amefunga kumi ikiwa ni sita zaidi ya anayefuatia Marcos Alonso (4).

Morata ameumia wakati Chelsea ikijiandaa kuifuata Brighton & Hove Albion katika mechi ya Ligi Kuu England itakayochezwa kesho jioni.
 
Chelsea ambayo wikiendi iliyopita iliwaduwaza mabingwa watetezi na vinara wa Ligi hiyo, Manchester City kwa sasa ipo nafasi ya nne katika msimamo wa Ligi Kuu, ikiwa chini ya Liverpool, Man City na Tottenham, hata hivyo imeizidi Arsenal iliyo nafasi ya tano kwa wastani wa mabao zote zina pointi 34.
 

[emoji6][emoji6]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…