[emoji2]Hatua za ndoa yenye furaha.
Binti atataka aonane na rafiki yake kila mara. Muhimu suala la "kuduana" lisiongeleweView attachment 968717
Siyo likes za bure, tunazitolea jashoMnakula likes za bure tu?
unanikumbusha mbali snHatua za ndoa yenye furaha.
Mabinti wengi wanapenda wavulana watanashati (namuonaga Davet kitaa) na wanao jiamini. Lakini pia wavulana wavumilivu na wasikivu. View attachment 968722
[emoji123]Hatua za ndoa yenye furaha.
Hii heshima ya mwanamke kwa mume imeletwa kwake kwa hisani ya uwajibikaji wa MUME kwa mke wake. View attachment 968734
ukikolea utajikuta unapitia bila kujielewa[emoji2]Na sita kaa niipitie milele walahi
Na hii technology, no way
Labda vijijini tu walahi
hahahaaaaaa mkuu mbavu zangu
haina mwisho hii mkuu, ni kula likes tuHuu uzi sijui mwisho wake lini?
Usikubali kuwa poor walahi
.......kula like toa like........Mnakula likes za bure tu?
[emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123]Hamna bingwa kwa namna hii
njoo mfundi mkuu.......Kuna joto kali sana mkuu wangu ata sisi tunaishi kwa msaada wa viyoyozi na feni tu.
Asante sana ipo siku nitakaribia ndugu yangu