Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ushindani wa kibiashara ni pamoja na propaganda bro. Ukishinda vita vya kisaikolojia basi unakuwa umeshinda hata vita vya soko na kiuchumi. Ndivyo wazungu walichotufanyia Waafrika japo kwa kiwango kingine...

Usije kushangaa tafiti uchwara zikachapishwa kudai kuwa watumiaji wengi wa iPhone ni konki konki master ili kuwatisha vijana huko kwao. Wachina ni tatizo. Kushindana fair and square hawawezi wao ni kuiba tekinolojia za wenzao tu...

Ila nanyi watumiaji wa iPhones mmezidi kujigamba [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji1734][emoji1734][emoji1734]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…