Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

View attachment 973531
carbamazepine, this is for ya! I miss you, hope all is well with ya! Happy Friday! Mlugaluga wa Tukuyu andjul; pita hivi, wala usitie neno! [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
Hivi ndo naelekea "shitendi" kumpokea, si unajua tena mambo ya "shikukuu" huku Mwakaleli lazima uimpoti "kitu" cha nguvu hadi waifu agome kurudi kwao[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Yaani kakifika tu... Hiiiiii... Ni mwendo wa kushika parachichi tu, iwe kwenye migombaaaa sijui kwenye michaiiii achana na kwenye magimbi. Ikifika tarehe 4januariii muombe akutumie lipicha la "siti sikani ili uone bifoo endi afta ya kuonana na mzee wa Tukuyu" ukague yaliyo kuwemo kama bado yamo... [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

A Happy day to you brother[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…