UmenenaAngalizo zuri.
Siyo pombe tu. Hata ngono zembe. Leo wengi tu wataukwaa. Sad !!!
Angalizo zuri.
Siyo pombe tu. Hata ngono zembe. Leo wengi tu wataukwaa. Sad !!!
Vituko vya wana Simba ktk mechi vs Nkana FC
Source: uhondo TV
Simba wasioshindika
Ha ha ha ha hiyo collabo ni noma
Cameroon walifika robo fainali 1990, Italia, wakiongozwa na mkongwe Roger Milla.Hii ni ile wanafuzu robo fainali94
Kikosi kilichofika robo fainali mwaka 1990 hiki hapaHii ni ile wanafuzu robo fainali94
Cameroon walifika robo fainali 1990, Italia, wakiongozwa na mkongwe Roger Milla.
Mwaka 1994 walitolewa hatua za awali.
Mwaka huo wachezaji hawakuwa na morali kwakuwa serikali ya Cameroon haikutekeleza ahadi ya kumpa nyumba ya kisasa kila mchezaji aliyeshiriki fainali za 1990 kama ilivyoahidi.