Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aisee,kumbe Arigo Sachi kipind hk alikuwa kocha wa Italy,, Chini ya kepten mstarabu Sunday Oliseh,,,Nigeria hii haitawah kuja tokea tena ilijaa makinda ambao baadae wakaja kuiteka dunia kwa vipaji vyao vya uhakika kabsa,,
 
Kifuatacho ni kikosi cha timu ya taifa ya Cameroon kilichoshiriki fainali za kombe la Dunia za mwaka 1990 nchni Italia
Waafrka tunaikumbuka sana timu hii, maana ndiyo timu ya kwanza ya bara la hili kufika hatua ya robo fainali za michuano hiyo mikubwa ya soka.
Ikumbukwe, kiwango kilichoonyeshwa na Cameroon mwaka huo kilitikisa Dunia. Hilo lilipelekea FIFA kufikiria kuiongezea nafasi zaidi Afrika kwenye michuano hiyo. Wachezaji wa Cameroon walikua;-

1.Joseph Antonia Bell.
2.Thomas Nkono.
3.Jacques Song'oo.
4.Roger Feutumba.
5.Thomas Libiih.
6.Emilie Mbouh.
7.Bertin Ebwelle.
8.Andre Kana Biyik.
9.Emmanuel Kunde.
10.Benjamin Massing.
11.Jules Onana.
12. Stephen Tataw.
13. Emmanuel Maboang.
14. Cyrilie Makanaky.
15.Bonaventure Djokep.
16. Eugene Ekeke.
17. Jean Claude Pagal
18.Roger Milla.
19.Fracois Omam Biyik.
20. Louis Paul Mfede.
Kocha ni Valery Nepomniyaschy, raia wa Russia
 
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji106]
 
Kombe la Dunia 1994 Marekani.
Roger Milla akiwa na Oleg Salenko wa Russia.
Wote wawili waliweka rekodi za kipekee kwenye fainali hizo.
Roger Milla alifunga goli kwenye mechi dhidi ya Russia na hivyo kuwa mchezaji wa kwanza mwenye umri mkubwa kufunga goli kwenye kombe la Dunia alikua na miaka 42.
Oleg Salenko aliifungia Russia bao 6 peke yake kwenye mechi hiyo ya mwisho ya kundi B dhidi ya Cameroon. Matokeo yalikua Cameroon 1-6 Russia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…