Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Shaban Robert
aka Shakespeare wa fasihi ya Kiswahili (au pengine Shakespeare ndiye Shaaban Robert wa fasihi ya Kiingereza [emoji16][emoji16][emoji16])...Pure talent yaani tena bila elimu ya kueleweka...

Tungekuwa tuna tabia ya kuenzi vilivyo vyetu huyu jamaa alipaswa kuwa tunu ya taifa; na kusomwa sana mashuleni katika ngazi mbalimbali.
 
Sana bro,,hatuna tabia sio ajabu nchi jirani wakawa wanamtunuku sana kuliko hata sisi,,mf.Kenya kwa upande wa Mombasa wanamfahamu vzr Shaban Robart tofaut hata sisi,,tena kama hk kizaz chetu,,ni aibu aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…