mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] happy new yearMkuu unakwoti mpaka mtu anaboreka duh! Si uweke tu post zako mwenyewe? Ni lazima kukwoti kila post za mtu na kumjazia manotification yasiyo na kichwa wala miguu?
Weka za kwako hata kama ni namba au alphabet tu likes utapata.
Happy New Year
Kichwa kama jiwe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 981634
Tuanze mwaka mpya kwa upendoHapo pabaya
Mchina mweusi long time mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaani haya maisha sio ya kuyabebea "eikei fote seveni"[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 981856
PointKabla hujafanya hivyo jaribu kujua sababu kwanza hasa kama mtu yuko mbali nawe. Wakati mwingine mtu anaweza kuwa yuko hospitali, jela au kaibiwa simu na wakati huo ndo anakuhitaji sana...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kesho tutaanza kukutafuta [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 982029
Pr ya kweli hayo
Pr ya kweli hayo
Aiseee pole yaoARUSHA - AFARIKI DUNIA AKISUBIRI NDOA KANISANI | . Sherehe ya harusi iliyokuwa ifanyike juzi jioni katika Kanisa la Nabii wa Utukufu wa Bwana lilipo Olmatejoo, Kata ya Sakina jijini hapa na kwenye ukumbi wa Sariko Olasiti Garden, iligeuka msiba baada ya bwana harusi kufariki dunia ghafla akiwa kanisani. Tukio hilo lilitokea majira ya saa 11 jioni katika kanisa hilo ambapo bwana harusi huyo, Heaven Makupa (47) alikuwa kanisani tangu saa saba mchana akisubiri kufunga ndoa na Jane Kimaro. Hata hivyo, wakati sherehe, nderemo na vifijo vikiendelea vikiongozwa na kikundi cha matarumbeta nje ya kanisa huku bibi harusi akiingia kanisani, Heaven alianza kujisikia vibaya na kupoteza fahamu. Kutokana na hali hiyo alikimbizwa Hospitali ya St Elizabeth, lakini alifikishwa akiwa tayari amefariki na mwili wake kupelekwa chumba cha kuhifadhia maiti cha hospitali ya Mkoa wa Arusha ya Mount Meru.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] du hii kashfaWakati Ligi Kuu England ikiwa ndio kwanza imefika Desemba 31, Arsenal ya Emery imeruhusu mabao mengi kuliko kikosi kingine chochote cha Wenger alichowahi kukiunda kwenye timu hiyo. Safu ya mabeki ya Arsenal kwa sasa inapitisha mabao pengine kuliko chujio linavyopitisha maji.
Mkuu upo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kuna kaukweli hapo
HahahahaWakiendelea hivi watafikisha mabao 100. Safi sana !!!