myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni Moja kati ya komenti ya uonevu kukomentiwa tangu kuanzishwa kwa uzi huu.
Duh*Mambo mazuri tushirikishane*
INTERNATIONAL SCHOOL OF TANGANYIKA
FEES SCHEDULE 2018-2019 SCHOOL YEAR
Early childhood 1-2 - USD 17,300= *38,060,000/-*
Kindergarten - grade 5 - USD 19,200= *42,240,000/-*
Grades 6-8- USD 22,300 = *49,060,000/-*
Grades 9&10- USD 23,700= *52,140,000/-*
Grades 11&12-USD 28,600= *62,920,000/-*
APPLY NOW
P.O BOX 2651,
DSM
255 22 2152350
Jembe [emoji123][emoji123][emoji123]
Siyo tangu kuanzishwa kwa uzi huu tu. Ni tangu siku ile jamaa alipolazwa usingizi wa pono akaibiwa ubavu wake tukatengenezewa misambwanda !!!Ni Moja kati ya komenti ya uonevu kukomentiwa tangu kuanzishwa kwa uzi huu.
Jembe hili! Enzi ni mdau wa Mchezo huu, sikuizi hata sijui nini kinaendelea huko.