[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daah aiseee kama najiona vileNgoja nipitie lakini mimi naona kipindi hiki watu wengi wanamihemko sana mitandaoni sijui sababu nini mpaka nafurahigi yaani utakuta unakuta mtu anapolomoka na maneno machafu na matusi sijui stress
Binafsi mimi Siwezi kupata moto mtandaoni hata iweje
Ila ndiyo binadamu ndugu yangu tunatofautiana sana mimi naielewa Tofauti yetu Binadamu
ALL IN ALL Let's STRIVE To Be Better
unataka kuandika kitabu cha nukuu za mfalme asiyechagua sehemu ya kung'ata?Endelea kuzileta hizi kamanda. Nazikusanya
Nikipata muda nitaupitia mkuu ili nijifunze kituUkiupitia uzi huu kwa umakini utajifunza jinsi ya kukabiliana na hoja ngumu za watu mbali mbali humu, kuna watu wanapitia magumu, lugha za matusi haziji hivi hivi.
Mmoja akilipuka mpokea mlipuko asikubali kulipuka, itasaidia kuuzima mlipuko bila kuleta madhara.
Mtoto anatakiwa kutunzwa na wazazi (sio walezi) wawili kwa upendo mkubwa, bahati mbaya sana ni watoto wachache mno wanao pitia malezi hayo.
Mungu aingilie kati...
Una uhakika gani kuwa u mtoto wa baba'ko? - JamiiForums
unaogopa kipigo cha wasiotaka kujulikana?
Duh aiseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Picha ya pamoja baada ya makabidhiano. View attachment 987919View attachment 987920