Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mi niko sawa bro. Niko library hapa kuna jimama linaazima vitabu lina msambwanda wa kufa mtu bro. Hali ni tete aisee..najifanya kama nasoma soma lakini hata sijui nasoma nini. Halafu limevaa haya magauni ya kubana...oooh jizazi teki ze whiiiliii pulizi [emoji16][emoji16][emoji16]Hakika bro,,na hili ni la kumuomba sana Mungu atuepushi juu ya hili[emoji120][emoji120]
Kwema brother?
Hope upo sawa,na unaendelea kupambana,kila la kheri brother!
Bro bhana,,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mi niko sawa bro. Niko library hapa kuna jimama linaazima vitabu lina msambwanda wa kufa mtu bro. Hali ni tete aisee..najifanya kama nasoma soma lakini hata sijui nasoma nini. Halafu limevaa haya magauni ya kubana...oooh jizazi teki ze whiiiliii pulizi [emoji16][emoji16][emoji16]
Bro be likeMi niko sawa bro. Niko library hapa kuna jimama linaazima vitabu lina msambwanda wa kufa mtu bro. Hali ni tete aisee..najifanya kama nasoma soma lakini hata sijui nasoma nini. Halafu limevaa haya magauni ya kubana...oooh jizazi teki ze whiiiliii pulizi [emoji16][emoji16][emoji16]
Haya mambo ni magumu bro. Imebidi nijitutumue niende nikalisalimie aisee. Bahati mbaya lina pete. Majimama ya kitasha haya hayana ishu na ni mapole sana. Sema tu pete ndo imezingua ...Bro be like
Pale msambwanda unapokatiza mbele yakeView attachment 990595
Naweka angalizo: Siyo Msukuma [emoji16][emoji16][emoji16]
Uzi wa kucheka pamoja ninge keshachokoza mtu hukoNaweka angalizo: Siyo Msukuma [emoji16][emoji16][emoji16]
Ha ha ha ha sawa sawa,safi kama umeheshimu ndoa yake,,safi sana brother,,japo ungeweza mwaga sera zako labda zngesikilizwaHaya mambo ni magumu bro. Imebidi nijitutumue niende nikalisalimie aisee. Bahati mbaya lina pete. Majimama ya kitasha haya hayana ishu na ni mapole sana. Sema tu pete ndo imezingua ...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uzi wa kucheka pamoja ninge keshachokoza mtu huko
Kuna wanawake wengi sana hapa duniani bro; na huwa sioni sababu ya kuparamia mke wa mtu....Ha ha ha ha sawa sawa,safi kama umeheshimu ndoa yake,,safi sana brother,,japo ungeweza mwaga sera zako labda zngesikilizwa
Ila kwa hilo la kuona pete hlf ukaquit,,ur gentleman [emoji109][emoji109]
Nimeenda huko. Ninge hajakosea. Ni yeye [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Uzi wa kucheka pamoja ninge keshachokoza mtu huko