Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wee Anko ni shwaini basi tu.
Kweli niwe na vitako vikavu hivyo utadhani ugali wa mhogo ulio telekezwa na watoto watukutu?
Kama ni hivyo acha nirudi zangu Mwakaleli, jiji limenishinda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anko hauishii maneno aisee,et ugali wa muhogo,,wasukuma wanauita ugali wa udaga bro Shimba Ya Buyenza kama nmekosea nsahihishe

Kwema ndugu yangu?
 
Weka picha uliyopiga pale kwenye samaki linalotoa maji bro,tuone kama kweli ulikuwa mwanza [emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anko hauishii maneno aisee,et ugali wa muhogo,,wasukuma wanauita ugali wa udaga bro Shimba Ya Buyenza kama nmekosea nsahihishe

Kwema ndugu yangu?
Uko sawa bro. Ugali wa udaga (budaga) uupate na bamia au mlenda pembeni. Ni kutelezeshea tu utafikiri unafakamia konokono [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kuna muda walikuwa graded hawa!!
Kuna komenti moja nimeiona umeamua kuomba nafasi Yegomasika,nimecheka saana...
Haya mambo siyo ya ushabiki,ni mapenzi. Mimi nayapenda kwa dhati kabisa. View attachment 991279
Faili lake huyu binti tunalo CHAWAMITA...Sema tu kaanza kuzeeka [emoji16][emoji16][emoji16]

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…