[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]haki ya Mungu wanaume tunapitia mengiKazi kweli kweli...
Na kwa watongozaji humu wana shida. Unaweza kutongoza mtu yule yule hata mara sita kumbe mwenyewe anakusanifu tu na mafyekero yake...[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kazi kweli kweli...
Na kwa watongozaji humu wana shida. Unaweza kutongoza mtu yule yule hata mara sita kumbe mwenyewe anakusanifu tu na mafyekero yake...[emoji16][emoji16][emoji16]
Nilisema juzi na nitasema tena hapa (na Bro) ni shahidi yangu. Kama Muumba Asingetaka tuwatamani Asingewaumba hivi. Kulikuwa na otenativu nyingi tu...Kuyashinda majaribu kutoka kwa mtu kama huyu.... Hata malaika watashangaaView attachment 996338
Mara paaap muujiza unatokea nageuka na kuwa hicho kiti cha baisikeli dah !!![emoji16][emoji16][emoji16]Kuyashinda majaribu kutoka kwa mtu kama huyu.... Hata malaika watashangaaView attachment 996338
Utoto rahaaaaa....Jioni ya kucheza View attachment 996352
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Nilisema juzi na nitasema tena hapa (na Bro) ni shahidi yangu. Kama Muumba Asingetaka tuwatamani Asingewaumba hivi. Kulikuwa na otenativu nyingi tu...
Kawaumba hivi halafu tena akachimba na mikwara eti tusiwatamani. Siyo fea kabisa [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Kweli Muumba aliamua kututesa kisaikolojia... Huyu binti ni wa Tanga hata mekapu hatumii.. Amemwaga mapicha yake Ig kule mweee!!!
Nimetoka kusoma kitabu cha Ester, maamuzi ya mfalme Ahasuero kwa Hamani siwezi kulaumu...

2020 in da hausi Magogoni[emoji106][emoji106][emoji106]
Aiseee!!