Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Amen [emoji120][emoji120][emoji120][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Huku kwema kiongozi. Dunia hiyoooo mkuku inazidi kujivingirisha kwenye mwendo wake usio na kikomo. Nasi kama vile nzi aliyevutiwa na harufu tamu ya ulimi wa kinyonga tumenasika mumo kwa mumo tunajivingirisha nayo. Tuendelee kumtegemea Mungu bila kukoma ili mwisho wa safari hii ambayo hatukuulizwa kama tulitaka kuisafiri ukawe mwema. Dadangu mpendeka na wapwa zangu majiniazi wafikishie salamu.
Nimeshakupa Mkuu Humu ni like tu
Aiiiiii....Jamani we kakaaaaa...Mmmmh....Hata sijui nisemeje yani.....Nimekaona kalike kangu mwenyewe, kazuriiii