Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Salama bro,
Ni kweli kabisa furaha ni ya muhimu sana kwenye maisha ya kila siku.Natumaini ni mzima pia.Ifurahie siku yako.#Furahidei.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Mkuu upo?
Habari ya majukumu kiongozi, Mungu ni mwema ametupa pumzi tuitumie kwa kutenda mema, moja wapo ya mema ni hii furaha tuipatayo hapa
 
aimeeeen.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…