Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uko sahihi japo sijui etimolojia yake. Pengine inatokana na neno fyekeo...
 
Ha hah

BAsi nadhan kuna Fyekoro moja lilikuja kuni Enjoy PM.

Ila Poa sidhan kama kuna la maana amenufaika!

Ingawa sio poa.
 
Ha hah

BAsi nadhan kuna Fyekoro moja lilikuja kuni Enjoy PM.

Ila Poa sidhan kama kuna la maana amenufaika!

Ingawa sio poa.
Pole.

Mtu anajilengesha weee na usipokuwa makini ukawa na uzabina zabina unaweza kujikuta unatongoza mtu yule yule hata mara nne...na ukalizwa mara nyingi tu kama ni mhongaji mzuri. Usione watu wanakimbia kuja kufungua nyuzi za ajabu ajabu kulalamika, wengine wamelizwa na mafyekero[emoji16][emoji16][emoji16]

Mimi mtu akija PM na ID mpya huwa namuuliza jina lake la zamani. Huwa hawarudi [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…