Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Najua ungepata nafasi nae ya one to one lazima ungemwambia kwamba hakuwa fair
Jamaa alikuwa na busara tena. Angekwepa kiaina [emoji16][emoji16][emoji16]

[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Ila jamaa alikula maisha. Wanawake elfu moja duh. Hata ukilala kwa mmoja siku moja moja itakuchukua zaidi ya miaka miwili na ushee kuwazungukia wote. Think about that bro. Na kwa vile alikuwa mfalme wote hawa lazima walikuwa wakali balaa. Jamaa aliishi kwa kweli ndo maana hakuamini uzee na kifo vilipomjia akaishia kuchimba biti kuwa eti yote ni kujilisha upepo [emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kumbe kuna wahongaji pasi na kumjua muhusika!!!
Kweli Dunia ni duara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, kwenye kutongoza ilikua ni kazi sana.Yaani nadhani palikua na probabilty kubwa sana ya kutongoza 'mke ya mfalme' πŸ˜€πŸ˜€

Suleiman alikua na mashemeji wengi kweli.

Halafu kwa idadi hiyo huoni kwamba kuna uwezekano mkubwa sana alikua anasaidiwa?
 
Kama ni demu sina tatzo nae kabisaa ingawa inakua poa akija na ID yake ya siku zote!

Issue inakua labda ni Wa kiume anataka kupata some details kukuhusu ana amua kuja kama JIKE, huu ni UBOYA.
Kule kwenye siasa inadaiwa vidume hutumia njia hiyo kuwadaka wanao mmwagia povu mkulu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yawezekana japo inasemekana wafanyakazi wa kiume wenye ukaribu na malkia wote walikuwa wanahasiwa...
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kumbe kuna wahongaji pasi na kumjua muhusika!!!
Kweli Dunia ni duara

Sent using Jamii Forums mobile app
Si unaambiwa utume nauli aje kukutembelea? Kama uko Dar yeye anasema yuko Ngara huko. Watu wanajitutumua mpaka wanatuma nauli za ndege halafu mawasiliano yanakatika ghafla...hapo tayari ushapigwaa [emoji16][emoji16][emoji106]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…