Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kihaya unakifahamu?Mi nimekulia huko, kwa maara ya kwanza naona mguu wa mwanamke una kisigino ilkua mwanza!
Na baadae nikazoea! Awali nilijua miguu ya wanawake haina visigino!!
Bro ya kweli hayo???Nimecheka sana aisee, ningekuwepo mjini ningetokea pande za mbagala hapo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] that’s my bro
Aisee,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huoni faida ya miguu? Are you siriazi?
Miguu hiyo ukibebeshwa mabegani ni burudani tosha mwenyewe unakubali na unaweza kucheza nayo hata lisaa lizima. Na toto likinesanesa kwa mwendo wa madaha utafikiri lina spring ng'wanawane. Full raha kuliangalia na hata kuliogesha. Sasa tumiguu ka fito bro mhhh [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
99% siyo mbaya. We 're getting there. Usisahau tu kuleta mrejesho.97%,98%99%....loading[emoji23][emoji23][emoji23]
Fresh bro,habar ya uzima,,,mitikasi vp hukoBro niaje
Muulize denti mwenyewe bro. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]lile darasa liliishia wapi bro,darasa toka kwa Prof Pyaar
Kuna bàadhi ya watu wanapenda kuwa karibu na viongozi hata kama kuna athari mbaya za kuhasiwa.Aisee, halafu unaweza kuta kuna watu waliokua wanagombania kufanya hizo kazi...
Bro ya kweli hayo???
Heh ni Album? sasa jiti lile linalokam thru itaruhusiwa kweli?Ok but hiyo ni album cover ya SZA...COMETRU ni unreleased album!!
99% siyo mbaya. We 're getting there. Usisahau tu kuleta mrejesho.
Huo ni ujuha unaosukumwa na umri, nadhani wakipata umri furani wataacha.Si unaambiwa utume nauli aje kukutembelea? Kama uko Dar yeye anasema yuko Ngara huko. Watu wanajitutumua mpaka wanatuma nauli za ndege halafu mawasiliano yanakatika ghafla...hapo tayari ushapigwaa [emoji16][emoji16][emoji106]
Fresh bro,habar ya uzima,,,mitikasi vp huko
Mrejesho muhimu bro99% siyo mbaya. We 're getting there. Usisahau tu kuleta mrejesho.
Dr. Hastings Kamuzu Banda.Kuna bàadhi ya watu wanapenda kuwa karibu na viongozi hata kama kuna athari mbaya za kuhasiwa.
Kuna kiongozi mmoja wa zamani kwenye nchi moja ya kiafrika aliyekuwa daktari kitaaluma, zamani tukiwa wadogo tuliambiwa alihasiwa ili amfanyie upasuaji malkia wa Uingereza.
Hata hivyo zilikua simulizi ambazo mpaka sasa sijajua ukweli wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Nauli ya ndege mpaka Ngara wakati kuna mademu wakali wakali wanasubiri unyanyue mdomo mkajirushe!!!!Si unaambiwa utume nauli aje kukutembelea? Kama uko Dar yeye anasema yuko Ngara huko. Watu wanajitutumua mpaka wanatuma nauli za ndege halafu mawasiliano yanakatika ghafla...hapo tayari ushapigwaa [emoji16][emoji16][emoji106]
Huku nilipo sizungumzi kihaya na senene hawapo, vyote itawezekana nikirudi UHAYANI.Kihaya unakifahamu?
Senene unakulaga?
[emoji23][emoji23][emoji23]inapendeza sana bro,kila kheri aisee maana umepambana sanaHaya mambo yapo Bro amini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ha hahNauli ya ndege mpaka Ngara wakati kuna mademu wakali wakali wanasubiri unyanyue mdomo mkajirushe!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app