Wakimuona wenye unifomu zao..
Safari ni hatua... Huu nouzi?!! Dini inaruhusu si zaidi ya wanneKaribu, PM yangu iko wazi, changamka tukaone Nyumbu wanaohama toka Serengeti Tanzania kwenda Masai Mara Kenya[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
smoking will kill you
Mazingira yangu hayakuruhusu pia Tulihama BK nikiwa Darasa la kwanza I guess.Umekulia BK halafu "naweza kumuelewa mtu akizungumza" tu? Mimi nilikifahamu kabisa mpaka cha ndani ndani huko Kanyigo sema miaka imepita bila kujizoeza ila naweza kupick up kwa haraka sana na demu wa Kihaya akijilengesha namwimbisha tu bila noma [emoji16][emoji16][emoji16]
Na haya mambo yapo kweli. Watu wanakodi mpaka Range na Hummers ili tu kwenda kujimwambafai huko kwa maeksi...
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Bro,,kwa hyo zile ngumu ngumu zote kipind hk ulichokamatika hutosikiliza tena??
Serious bro?[emoji23][emoji23]
Safi si unamuona jamaa hapo kwenye Avatar yakoHuku kwema kabsa bro,Mungu anasaidia
May be wazazi hawakutilia mkazo hasa ukizingatia kuwa ni mixer. Wahaya ni mojawapo ya makabila machache ambayo hata watoto wakulie wapi ni lazima wajue lugha na utamaduni wao. Kuna watoto nawafahamu wamezaliwa kwa Trump lakini wanaongea Kihaya safi kabisa. Mhaya popote alipo na Kihaya chake, ndizi na senene hata asome namna gani...Mazingira yangu hayakuruhusu pia Tulihama BK nikiwa Darasa la kwanza I guess.
Hakukua na ushawishi/kichocheo chakupelekea kujua Lugha hii.
SureMay be wazazi hawakutilia mkazo hasa ukizingatia kuwa ni mixer. Wahaya ni mojawapo ya makabila machache ambayo hata watoto wakulie wapi ni lazima wajue lugha na utamaduni wao. Kuna watoto nawafahamu wamezaliwa kwa Trump lakini wanaongea Kihaya safi kabisa. Mhaya popote alipo na Kihaya chake, ndizi na senene hata asome namna gani...
Hata mimi kwa kweli. Inatosha sasa. Malizieni siku yenu salama na wikiendi ikawe ya mibaraka tele.[emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]Leo nimechat sana hapa, I bet ni Mwanzo mzuri wa Weekend Days.
Aseee"Kuku wa mkata hatagi, akitaga haangui, akiangua hutwaliwa na mwewe."