Naelewa bro,,ungeingia cha kike aisee[emoji23][emoji23][emoji23]Nothing serious, nadhani lilitaka niingie kingi [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Umeambiwa unamtania Esta kwa kutumia Fyekero[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].
Habari za majukumu kiongozi
Sent using Jamii Forums mobile app
Twashukuru bro tupo salama, vipi mvua zimeisha pande zenu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata Esta anajua fika siwez mtania,nikifanya hvyo ataniibukia kona ya bwiru ghafra tu na kuniumbua asubuh
Kwema kabsa,habar ya weekend?familia haijambo
SafiSelous Game Reserve ina kila kitu, yani mpaka tunajiuliza tuendelee na hifadhi ya wanyama, tuchimbe Urani kwenye mto Mkwiji, Tujenge bwawa la maji ya kunywa ya Kidunda, Tujenge Bwawa la umeme la Steiglers.
Yanaweza kufanyika yote na hifadhi ya Selous ikawepo kama kawaida View attachment 998370View attachment 998375
Ule moto kule nyuma ndio wa hiyo simu.. hiyo simu ni superkitochiView attachment 998467
Salama wapendwa.huyu mwanamke alipokea simu wakati akipika na gesi ikalipuka akaungua. jamani kama mna gesi msipokee simu na ndiyo mana wanasisitiza kwenye petrol stations simu ni kama kibriti au sigara. Forwardia kwa wenzio
Znanyesha bro,,msimu wa kilimo huu
Ebana eee.. nimejifunza kitu leo kwy hii picha
Bado dk 59 tuSiku inaaga
Na Uji[emoji41]Usiku wa kupeana pipii
Usiku wa kona ya bwiruUsiku wa burudani na raha