Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Habari gani Bro, wazima mbagala hapo
Mbagala full kujiachia aisee. Sitakaa nihame ng'o...Kwako huko kwema? Naona unamwaga parabozi za kufa mtu. Natumaini safari hii ni za kweli. Kama shemeji yupo hapa mzindue please...na usipotee kwq sababu wazinduaji na wazinduliwa wana tabia ya kupotea sijui kwa nini [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…