Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mwanaume WA kwanza Anakucheat😨 _Unamtema🤷🏽‍_ Wa Pili Anakucheat😨 _Unamtema🤷🏽‍♂_ Wa Tatu Anakucheat😨 _Unamtema🤷_ WA NNE pia Anakucheat🙆🏻‍♂ _Unamtema pia🤷🏽‍♂_ _Ile Unashtuka Umeshakuwa malaya 😂😂😂
 
Hivi unajua kwanini tunatakiwa kumshukuru Mungu baada ya kupiga CHAFYA? 👉🏽Hekima yake ni kwamba mapigo ya moyo wako yanasimama kwa muda mchache sana. 👉🏽Utafiti wa kisayansi unaonesha kuwa speed ya chafya ni 100 Km kwa saa🤔 Hivyo unapopiga chafya kwa tabu, unaweza kuvunja moja ya viungo vyako. 👉🏽 Usijaribu kuzuia chafya inapokuja ghafla, kwani unaweza kupasua mishipa ya damu mwilini au kichwani mwako, na inaweza kupelekea kifo chako. 👉🏽 Sio vizuri kufumbua macho wakati wa kupiga chafya, kwani inaweza kusababisha macho yako kutoka ktk eneo lake kutokana na speed ya chafya. 👉🏽Unapopiga chafya viungo vyote vya mwili wako vinasimama ikiwemo moyo,mfumo wa kupumua,mfumo wa chakula na hata ule wa mkojo, lakini baada ya muda mfupi, viungo vyako vinafanya kazi kama kawaida, ndiomana tunamshukuru Mungu mara baada ya kupiga chafya kama ulikuwa hujui.
 
Kuna sehemu nilienda nikanywa Bia ndogo za Serengeti 8 .. Alafu nimeenda bar nyingine nimekunywa serengeti 4 kubwa. Sasa kuna mtu ananiuliza nimekunywa bia ngapi .. Sijui nimuambie bia ngapi ... Hivi zile ndogo ni Nusu bia au bia kamili.
 
Ok

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…