Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

4. Ni mnyama anayejua sana kuvizia, kwa mfano akiingia katika shamba lako na wewe ndio umefika alfajili hiyo mtaelewena tuu.
 
5. Wakati wanyama wote maziwa yao yakiwa meupe, boko hapendi mambo ya kuigana yeye maziwa yake ni ya pinki, ajabu jingine boko ni viumbe wanaopatikana Afrika kwa wingi lakini maziwa yao huuzwa ulaya na amerika.
 
6. Kwenye mahaba kuyaanza si lazima viungo vyao visisimuke ndio dume ampande jike, wanaweza kuanza hivyo hivyo kusisimuka kukawakuta mbele ya safari.
 
8. Anaweza kusafiri umbali mrefu kutafuta malisho na kuachana na maji pasina ya shida yoyote, cha ajabu maji yakianza kukauka viboko hufa wengi sana.
 
9.kiboko ni chanzo cha chakula kwa viumbe wengine, kwa mfano wadudu mbali mbali humtumia kama chakula akiwa hai, hata hivyo ndege nao huwala wadudu hao, nje hapo wawapo majini wanapohasama sana midomo yao mabaki ya chakula huanguka na samaki hula, lakini yeye binafsi hutumia zaidi ya kilo 65 za mimea kama chakula.
 
10. Kiboko si mnyama mla nyama, hivyo usifikiri anakula samaki wala wanyama wengine, mnyama asiyempenda wa kwanza ni wewe unayesoma, jiulize ulimkosea nini ?
 
Ukikutana naye ufanyaje ? ****

Mnyama huyu ni hatari pasina mfano huua kikatili sana, akikukamata huhasama mdomo wake na kubana mbavu kisha kuanza kutingisha tingisha ikiwa ni ishara ya kuvunja vunja kabisa, usije fikiri kupambana naye ni rahisi hata kama una silaha, kitu pekee cha kumtisha nacho ni moto, ila sijui panga, bastora utaumia tuu, usifikirie kumkimbia ana uwezo mzuri sana wa mazoezi hayo.
 
Akitokea ghafla na ukaona Expansion Joint, itapendeza sana kama utatumia fursa hiyo.
 
SIFA ZAKE ZA PEKEE.
1. Nyangumi ndio mnyama mkubwa kuliko wote duniani
Mifupa ya nyangumi mmoja.
20190124_094254.jpeg
20190124_094409.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom